
Usikose kusikiliza kipindi bora cha simulizi mbalimbali hususani tamthilia pendwa za #AzamTV ambapo katika Usiku wa Simulizi utapata kusikiliza visa, visasi, vitimbwi, mahusiano, ndoa, siasa na mambo mengine mengi yanayojitokeza kwenye tamthilia za Azam TV
Kipindi hiki kinaruka kuanzia Jumatatu hadi Jumatano kuanzia saa 4:00 usiku kupitia 107.3 DSM.
Comments