USIKOSE KUSIKILIZA MORNING EXPRESS JUMATATU - IJUMAA SAA 12:00 ASUBUHI
- Abuu Yusuf
- Jul 20, 2022
- 1 min read

Usikose kusikiliza kipindi cha #MorningExpress kuanzia Jumatatu-Ijumaa saa 12:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi kupitia 107.3 DSM.
Unaweza kusikiliza kupitia tovuti yetu rasmi au kupitia #AzamTVMax na kwenye kisimbuzi cha #AzamTV upande wa Radio.
Comments